MwanzoAMZN • NASDAQ
Amazon
$ 218.94
Baada ya Saa za Kazi:
$ 218.50
(0.20%)-0.44
Imefungwa: 10 Jan, 19:59:53 GMT -5 · USD · NASDAQ · Kanusho
HisaHisa zinazouzwa MarekaniMakao yake makuu ni Marekani
Bei iliyotangulia
$ 222.13
Bei za siku
$ 216.50 - $ 221.71
Bei za mwaka
$ 149.91 - $ 233.00
Thamani ya kampuni katika soko
2.30T USD
Wastani wa hisa zilizouzwa
34.76M
Uwiano wa bei na mapato
46.92
Mgao wa faida
-
Ubadilishanaji wa msingi
NASDAQ
Alama ya CDP ya Tabia Nchi
B
Fedha
Taarifa ya Mapato
Mapato
Mapato halisi
(USD)Sep 2024Mabadiliko Tangu Mwaka Uliopita
Mapato
158.88B11.04%
Matumizi ya uendeshaji wa biashara
60.49B6.36%
Mapato halisi
15.33B55.16%
Kiwango cha faida halisi
9.6539.86%
Mapato kwa kila hisa
1.4352.13%
EBITDA
30.85B32.31%
Asilimia ya kodi ya mapato
15.00%
Jumla ya mali
Jumla ya dhima
(USD)Sep 2024Mabadiliko Tangu Mwaka Uliopita
Uwekezaji wa pesa taslimu na vipindi vifupi
88.05B37.22%
Jumla ya mali
584.63B20.08%
Jumla ya dhima
325.48B7.10%
Jumla ya hisa
259.15B
hisa zilizosalia
10.52B
Uwiano wa bei na thamani
9.01
Faida inayotokana na mali
7.64%
Faida inayotokana mtaji
10.72%
Mabadiliko halisi ya pesa taslimu
(USD)Sep 2024Mabadiliko Tangu Mwaka Uliopita
Mapato halisi
15.33B55.16%
Pesa kutokana na shughuli
25.97B22.41%
Pesa kutokana na uwekezaji
-16.90B-43.78%
Pesa kutokana na ufadhili
-2.76B69.18%
Mabadiliko halisi ya pesa taslimu
7.00B49,928.57%
Mtiririko huru wa pesa
8.06B-37.61%
Kuhusu
Amazon.com, Inc. ni kampuni ya Marekani yenye makao makuu Seattle, Washington, ambayo ilianzishwa na Jeff Bezos tarehe 5 Julai 1994. Kampuni hiyo ndiyo kampuni kubwa kabisa duniani ya uuzaji wa bidhaa kwenye intaneti. Kwa kipimo cha mapato na mtaji wa soko, na ni ya pili baada ya Alibaba Group kwa jumla ya mauzo. Tovuti ya amazon.com ilianza kama duka la vitabu mtandaoni na baadaye ilianza kuuza video, muziki, michezo ya video, nguo, samani, vyakula, vito n.k. Kampuni hiyo pia inamiliki kampuni ya kuchapisha, Amazon Publishing, studio ya filamu na televisheni, Amazon Studios, inatengeneza bidhaa za elektroniki kama vile Kindle, Echo n.k. Amazon ina maduka ya rejareja katika nchi za Marekani, Uingereza, Ireland, Ufaransa, Canada, Ujerumani, Italia, Hispania, Uholanzi, Australia, Brazili, Japan, China, India, Mexico, Singapore na Uturuki. Mnamo mwaka 2015, Amazon iliipita kampuni ya Walmart kama kampuni ya uuzaji wa rejareja yenye thamani kubwa zaidi nchini Marekani. Amazon ni kampuni ya pili ya thamani zaidi duniani, kampuni kubwa ya intaneti kwa mapato duniani, na baada ya Walmart, mwajiri wa pili mkubwa nchini Marekani. Wikipedia
Afisa Mkuu Mtendaji (CEO)
Ilianzishwa
5 Jul 1994
Wafanyakazi
1,551,000
Gundua zaidi
Huenda unavutiwa na
Orodha hii imetokana na maudhui uliyotafuta hivi majuzi, hisa unazofuatilia na shughuli zingine. Pata maelezo zaidi

Data na maelezo yote hutolewa “kama yalivyo” kwa madhumuni ya taarifa binafsi tu, wala hayanuii kuwa ushauri wa kifedha na hayana madhumuni ya kufanya biashara au uwekezaji, kodi, kisheria, uhasibu au ushauri mwingine. Google si mshauri wa uwekezaji wala mshauri wa kifedha na haitoi maoni au mapendekezo yanayohusiana na kampuni zozote zilizojumuishwa kwenye orodha hii au hisa zozote zilizotolewa na kampuni hizo. Tafadhali wasiliana na dalali wako au mwakilishi wa kifedha ili uthibitishe bei kabla ya kufanya biashara yoyote. Pata maelezo zaidi
Watu pia hutafuta
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Programu za Google
Menyu kuu