MwanzoBTC / ZAR • Sarafu ya dijitali
add
Bitcoin (BTC / ZAR)
Bei iliyotangulia
1,806,951.55
Kwenye habari
Kuhusu Bitcoin
Sarafu ya Bit ni mfumo wa malipo dijitali ambao unatumiwa na mamilioni ya watu bila msimamizi wa juu kama Benki Kuu ilivyo katika nchi mbalimbali. Sarafu hiyo huweza kutumika kwa kubadilishana na sarafu nyingine, bidhaa au huduma.
Sarafu ya Bit ilianzishwa na mtu asiyejulikana au kikundi cha watu chini ya jina la Satoshi Nakamoto na kutolewa kama programu huria mwaka 2009. Kuanzia Februari 2015, wafanyabiashara zaidi ya 100,000 wanakubali Sarafu ya Bit kama malipo.
Kwa mujibu wa utafiti wa Chuo Kikuu cha Cambridge wa mwaka 2017, kuna watu kati ya milioni 2.9 hadi 5.8 wanaotumia malipo dijitali na wengi wao wanatumia sarafu ya bit.
Mara nyingi sarafu ya bit inaitwa "pesa ya dijitali" lakini wataalamu wengi huiona si pesa bali bidhaa ya bahatisho. Paul Krugmann pamoja na wapokeaji wengine wa Tuzo ya Nobel ya Elimu ya Uchumi aliita udanganyifu akiilinganisha na bahatisho la vitunguu vya maua ya tulip huko Uholanzi katika karne ya 17. WikipediaKuhusu Randi ya Afrika kusini
The South African rand, or simply the rand, is the official currency of South Africa. It is subdivided into 100 cents, and a comma separates the rand and cents.
The South African rand is legal tender in the Common Monetary Area member states of Namibia, Lesotho, and Eswatini, with these three countries also having national currencies: pegged with the rand at parity and still widely accepted as substitutes. The rand was also legal tender in Botswana until 1976 when the pula replaced the rand at par. Wikipedia