MwanzoEUR / ZAR • Sarafu
add
EUR / ZAR
Bei iliyotangulia
19.58
Habari za soko
Kuhusu Yuro
Euro ni sarafu ya pamoja katika baadhi ya nchi za Ulaya. Wakazi wake 350,000,000 wanatumia kwa kawaida pesa hiyo. Watu wengine 210,000,000 wanatumia pesa zilizoungwa na euro, hasa barani Afrika.
Tangu mwaka 2002 nchi 13 za EU zilifuta sarafu ya kitaifa ili kutumia Euro tu. Siku hizi ni 20.
Euro moja imegawanyika katika senti 100.
Kuna benknoti za € 5, € 10, € 20, € 50, € 100, € 200, € 500.
Kuna sarafu za metali 8 za € 0,01, € 0,02, € 0,05, € 0,10, € 0,20, € 0,50, € 1, € 2.
Pesa ya karatasi inatolewa na benki kuu ya Ulaya na ni sawa kote.
Sarafu zinatolewa na nchi wanachama na zinatofautiana upande mmoja, lakini sarafu zote hutumika kote. WikipediaKuhusu Randi ya Afrika kusini
The South African rand, or simply the rand, is the official currency of South Africa. It is subdivided into 100 cents, and a comma separates the rand and cents.
The South African rand is legal tender in the Common Monetary Area member states of Namibia, Lesotho, and Eswatini, with these three countries also having national currencies: pegged with the rand at parity and still widely accepted as substitutes. The rand was also legal tender in Botswana until 1976 when the pula replaced the rand at par. Wikipedia